TEACHING,HEALING,PROPHECY & DELIVERANCE

.

Thursday, 31 July 2014

MASS DELIVERANCE { KUFUNGULIWA KWA PAMOJA}

Baadhi ya watu waliofunguliwa wakati wa Mass deliverance wakiwa chini baada ya nguvu ya Mungu kuwashukia na kufukuza kila aina ya roho chafu zilizokuwa zinawatesa,Mass Deliverance hii iliongozwa na Prophet of God,Prophet Joseph.


              Baadhi ya watu waliokuwa wameanguka kwa nguvu ya Mungu.


                        Dada huyu akitapika kila aina ya sumu alizolishwa na ibilisi.


Baadhi ya watu wakiwa chini baada ya nguvu ya Mungu kuwachukua.
       Wakimshukuru Mungu baada ya kufunguliwa kutoka katika vifungo mbalimbali.Hakika ni jina la Yesu Kristo wa Nazareth ndio jina pekee linaloweza kufungua kila kifungo na kila aina ya uonevu wa shetani.
                     





Tuesday, 1 July 2014

WAPOKEA UPONYAJI KATIKA MAOMBI YA KUFUNGULIWA KWA PAMOJA (MASS DELIVERANCE)

Hakika matendo ya Mungu ni makuu mno,kupitia maombi ya kufunguliwa kwa  pamoja au Mass Deliverance ndugu hawa waluweza kuponya mgonjwa mbalimbali,wengine walikuwa hawezi kutembea wamekuja wakiwa na maumivu kwenye miguu,kifafa na magonjwa mengine, lakini baada ya Prophet Joseph kuongoza maombi akiongozwa na Roho Mtakatifu  ndugu hawa waliweza kupokea uponyaji wao kupitia Yesu Kristo nao wakawa wazima kabisa.
           Wakimshangilia Mungu baada ya kupokea uponyaji kutoka kwa Yesu Kristo wa Nazareth.

     Hawa ndugu walioko chini ni wale ambao nguvu ya Mungu iliwachukuwa wakati wa maombi ya Pamoja yaliyoongozwa na Prophet Joseph.
  Mama huyu akitembea bila ya msaada wa fimbo baada ya maombi.Mungu wetu ni Mungu    atendaye miujiza hata sasa hakuna la kumshinda yeye!!!