Hakika matendo ya Mungu ni makuu mno,kupitia maombi ya kufunguliwa kwa pamoja au Mass Deliverance ndugu hawa waluweza kuponya mgonjwa mbalimbali,wengine walikuwa hawezi kutembea wamekuja wakiwa na maumivu kwenye miguu,kifafa na magonjwa mengine, lakini baada ya Prophet Joseph kuongoza maombi akiongozwa na Roho Mtakatifu ndugu hawa waliweza kupokea uponyaji wao kupitia Yesu Kristo nao wakawa wazima kabisa.
Wakimshangilia Mungu baada ya kupokea uponyaji kutoka kwa Yesu Kristo wa Nazareth.Hawa ndugu walioko chini ni wale ambao nguvu ya Mungu iliwachukuwa wakati wa maombi ya Pamoja yaliyoongozwa na Prophet Joseph.
Mama huyu akitembea bila ya msaada wa fimbo baada ya maombi.Mungu wetu ni Mungu atendaye miujiza hata sasa hakuna la kumshinda yeye!!!