TEACHING,HEALING,PROPHECY & DELIVERANCE

.

Thursday, 31 July 2014

MASS DELIVERANCE { KUFUNGULIWA KWA PAMOJA}

Baadhi ya watu waliofunguliwa wakati wa Mass deliverance wakiwa chini baada ya nguvu ya Mungu kuwashukia na kufukuza kila aina ya roho chafu zilizokuwa zinawatesa,Mass Deliverance hii iliongozwa na Prophet of God,Prophet Joseph.


              Baadhi ya watu waliokuwa wameanguka kwa nguvu ya Mungu.


                        Dada huyu akitapika kila aina ya sumu alizolishwa na ibilisi.


Baadhi ya watu wakiwa chini baada ya nguvu ya Mungu kuwachukua.
       Wakimshukuru Mungu baada ya kufunguliwa kutoka katika vifungo mbalimbali.Hakika ni jina la Yesu Kristo wa Nazareth ndio jina pekee linaloweza kufungua kila kifungo na kila aina ya uonevu wa shetani.