Ndipo dada huyu alipotoka na kukiri ni kweli yote ambayo Nabii wa Bwana amenena yako sahihi kabisa.
Baba mzazi akithibitisha unabii alioutoa Prophet Joseph.
Dada huyu akiwa ameshikilia kisu hicho....
WAKATI WA KUWEKWA KWAKE HURU...
Akifurahia baada ya kuwekwa huru na Yesu Kristo. |
BABA MZAZI NAYE AKIWEKWA HURU KWA JINA LA YESU KRISTO.
Prophet Joseph akimuombea...
Prophet Joseph akiendelea kumfungua kwa kutumia Jina la Yesu Kristo.
Wakimchezea Mungu baada ya kufunguliwa.