TEACHING,HEALING,PROPHECY & DELIVERANCE

.

Friday, 25 April 2014

MAELFU YA WATU WAKISIKILIZA NENO LA IMANI KATIKA HUDUMA YA LIFE IN CHRIST MINISTRIES( ZOE)





KUFUNGULIWA KUTOKA KATIKA VIFUNGO VYA KULA BARAFU NA MCHELE



Akionyesha jinsi anavyokula mchele.

Prophet of God,Prophet Joseph akimfungua binti huyu kwa kutumia jina la Yesu Kristo.

BAADA YA KUWEKWA HURU
                                  Akishindwa kula mchele huo baada ya kuombewa.

 Akiwa huru baada ya kuombewa na Prophet of God,Prophet Joseph.Hakika hakuna jamno gumu la kumshinda Mungu.