Akibubujikwa na machozi ya furaha baada ya kupokea uponyaji.
Akishuhudia jinsi Mungu alivyomtendea.
Baada ya kutoa hogo. |
Akienda kuweka magongo na hogo katika ukuta wa uponyaji. |
Hogo likiwa limening'inizwa kwenye ukuta huo.
Baadhi ya magongo,wheelchairs,neck colars,mahogo ambavyo watu walivitupa baada ya kupata uponyaji.
Akiwa amefika jumapili iliyofuatia akiwa ni mzima kabisa.
MKRISTO WA KWELI ANAJULIKANA KWA UPENDO WAKE. Prophet Joseph akiongozwa na Yesu Kristo wa Nazareth aliweza kumkabidhi ndugu huyu shilingi laki mbili taslimu kutokana na hali ngumu aliyokuwa anapitia. |