Ndugu Bitusi a.k.a Papa Bitusi alifika katika huduma ya Life in Christ Ministries Zoe akiwa hajiwezi kabisa kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya Moyo na mapafu,amabapo alikuwa akienda hospitalini mara kwa mara kusafishwa damu kutokana na mapafu yake kushindwa kufanya kazi ya kutoa sumu mwilini.Ndipo ndugu yake alipomleta kwenye huduma hii ili akutane na Yesu mtenda miujiza.
HAPA NI BAADA YA UPONYAJI.
Daktari akisoma X- ray hizo.
Daktari akisoma ripoti ya ndugu Bitus kuwa ni mzima kabisa baada ya kuponywa na Yesu Kristo wa Nazareth.