Akiwa kwenye nyumba ya Mungu LCM Zoe, tarehe 5/4/2015.
Kidonda hicho kilivyokuwa.
Afisa muuguzi wa huduma akielezea kwa upana juu ya mguu huu. Hii ni jumapili ya tarehe 10/5/2015 mara baada ya maombi.
Hivi ndivyo ambavyo mguu unaonekana mara baada ya maombi.
Katika picha ni vyeti vya hospitalini vinavyoonyesha vipimo ambavyo ndugu Esther alivifanya.
SIFA NA UTUKUFU KWA YESU KRISTO.