Dada huyu alifika katika huduma ya LIFE IN CHRIST MINISTRIES ( ZOE)akitokea masomoni nchini Uganda, akiwa amevalishwa hogo mguuni kutokana kuwa na roho ya ajali iliyokuwa inafwatilia maisha yake kama Prophet Joseph alivyokuwa amemtolea unabii,akiwa shuleni alianguka na kuvunjika mguu wake wa kulia na mifupa kuachana lakini alikumbuka kuwa yupo Mungu atendaye miujiza hata sasa na ndipo alipoamua kurudi nchini Tanzania na kuja kwenye huduma ya LCM kwa maombezi.
Akiingia kanisani.
Prophet of God,Prophet Joseph akimwombea.
Akitembea bila ya msaada wa magongo.
Akienda kuweka magongo kwenye ukuta wa uponyaji.
Akimshukuru Mungu kwa uponyaji