Teddy akielezea jinsi ambavyo hutafuna vifuniko hivyo.
Akitafuna kifuniko hicho cha plastiki.
Kifuniko alichokuwa akikitafuna Teddy.
Prophet Joseph akiifukuza roho chafu ya kutafuna vifuniko vya plastiki ndani ya dada Teddy.
Baada ya maombi akijaribu kutafuna kifuniko cha plastiki.
Alivyowekwa huru na Yesu Kristo hakuweza kutafuna tena vifuniko hivyo vya plastiki.
Akimshukuru Mungu Baba kwa kumweka huru kutoka katika kifungo cha kutafuna vifumiko vya plastiki.
UTUKUFU KWA YESU KRISTO WA NAZARETH.