TEACHING,HEALING,PROPHECY & DELIVERANCE

.

Sunday, 8 February 2015

KUFUNGULIWA KUTOKA KATIKA ROHO YA KUTAFUNA PLASTIKI

Teddy Augustine kutoka Ubungo alikuwa kwenye kifungo cha kutafuna vifuniko vya plastiki, hali hii ilikuwa ikimkuta mara tu alipokuwa akihisi muwasho kwenye meno yake na ndipo alikuwa akichukua vifuniko vya plastiki na kuanza kuvitafuna. Jumapili 1/2/2015 alikuja katika huduma ya Life in Christ Ministries Zoe akiomba msaada kutoka kwa Yesu Kristo wa Nazareth wa kutolewa kutoka katika kifungo hicho cha kutafuna plastiki.

                                     Teddy akielezea jinsi ambavyo hutafuna vifuniko hivyo.
                                                Akitafuna kifuniko hicho cha plastiki.
                                            Kifuniko alichokuwa akikitafuna Teddy.
        Prophet Joseph akiifukuza roho chafu ya kutafuna vifuniko vya plastiki ndani ya dada Teddy.
                               Baada ya maombi akijaribu kutafuna kifuniko cha plastiki.
       Alivyowekwa huru na Yesu Kristo hakuweza kutafuna tena vifuniko hivyo vya plastiki.


  Akimshukuru Mungu Baba kwa kumweka huru kutoka katika kifungo cha kutafuna vifumiko    vya plastiki.

                                       UTUKUFU KWA YESU KRISTO WA NAZARETH.

No comments:

Post a Comment