TEACHING,HEALING,PROPHECY & DELIVERANCE

.

Thursday, 29 May 2014

HAKUNA LINALOSHINDIKANA KWA MUNGU

Katika ibada ya tarehe 25/05/2014 kaka Pascal Michael alifika katika huduma ya Life in Christ Ministries Zoe,akiwa na maumivu ya mguu yaliyodumu kwa muda wa miaka 2, alipata ajali katika eneo la Tabata Kisukuru jijini Dar es salaam akatibiwa katika hospital mbalimbali jijini Dar na mkoani Songea lakini kidonda kila kikishonwa kilifumuka,ndipo dada yake alipoamua kumleta katika huduma ya Life in Christ Ministries Zoe ili apate uponyaji kutoka kwa Yesu Kristo wa Nazareth kupitia Prophet Joseph.

                                                       Huu ndio mguu ulioumia.


           Prophet Joseph akiamuru maumivu kumwacha kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth.
                                       Baada ya maombi akitembea bila ya msaada wa magongo.

                                          Akimshukuru Mungu kwa kumponya.










          Dada yake na kaka huyu akimshuhudia Mungu kwa matendo makuu aliyomtendea kaka yake.


                      Wakimfurahia Mungu kwa matendo makuu na yakushangaza aliyowatendea.



 Magongo yakiwekwa juu kuonyesha kuwa kaka huyu amewekwa huru na Yesu Kristo wa Nazareth na magongo hayahitaji tena katika maisha yake.Hakika Mungu anashangaza sana yaliyoshindikana kwa wanadamu yeye Mungu anaweza hakuna linalomshinda!!!!.