TEACHING,HEALING,PROPHECY & DELIVERANCE

.

Thursday, 15 May 2014

MKONO ULIOVUNJIKA WAUNGA KWA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH

Mama huyu alikuja katika huduma ya Life in Christ Ministries Zoe jumapili ya tarehe 11/05/2014  akiwa na maumivu makali yaliyotokana na kuvunjika mkono wake,ndipo roho ya Mungu alipomfunulia Prophet Joseph kuwa mama huyu alikuwa akifwatiliwa na roho ya ajali,ndipo mama huyu alipokiri na kusema ni kweli.Kwasababu aliteleza akiwa nyumbani kwake na kusababisha mkono wake kuvunjika.

                                                  Hapa ni baada ya maombi.


  Nesi kutoka kitengo cha mifupa MOI akithibitisha kuwa ni kweli mkono umeunga kwa kupitia jina la Yesu Kristo wa Nazareth.         

                                           Mmoja kati ya wainjilisti akimsaidia kutoa hogo hilo.




                                              Mama huyu akimfurahia Mungu kwa kumponya.



                                  Watu wakimshangilia Mungu kwa kumponya mama huyu.

No comments:

Post a Comment