TEACHING,HEALING,PROPHECY & DELIVERANCE

.

Friday, 23 May 2014

PROPHET AIFUTA RASMI DENGUE NCHINI TANZANIA


Katika ibada ya jumapili tarehe 18/05/2014 Prophet of God,Prophet Joseph aliongoza maombi ya kuufuta ugonjwa wa dengue nchini Tanzania.Alisema si ugonjwa kama watu wengi wanavyodhania bali ni roho chafu iliyotoka kuzimu.
Ndipo Prophet Joseph alipoongoza maombi ya kuufuta rasmi ugonjwa huo katika taifa la Tanzania na kusema kuwa hautakaa zaidi hata ya miezi mitatu kuanzia sasa na utakuwa umeondoka kabisa.Pia aliongeza kuwa kazi ya ibilisi ni kuleta hofu na woga ili aweze kuwaingia watu kirahisi kupitia hofu na woga.Akiongoza maelfu waliokuwa wamefika kwenye huduma ya Life in Christ Ministries Zoe Prophet Joseph alifanya mombi hata kwa wagonjwa ambao walikuwa wamelazwa kwenye Hospital mbalimbali nchini pia baadhi ya watu waliokuwa na dalili za kupata ugonjwa huo walifunguliwa kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth.


No comments:

Post a Comment