TEACHING,HEALING,PROPHECY & DELIVERANCE

.

Saturday, 28 June 2014

UGONJWA WA KANSA WASALIMU AMRI KWA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH.

Kaka huyu alikuja akiwa hawezi kutembea mwenyewe kutokana na ugonjwa wa kansa uliomsumbua kwa muda mrefu hadi kupelekea kukata tamaa kabisa,ilianza kama vidonda vya tumbo na alipokwenda hospitali walimweleza kuwa ni ugonjwa wa kansa, ndipo alipoona hakuna kimbilio lingine duniani isipokuwa kumkimbilia Yesu Kristo wa Nazareth yeye awezaye kuponya kila aina ya ugonjwa.

                                                 Hapa akimshuhudia Mungu baada ya maombi.

                     Mama mzazi akionyesha shukrani kwa Mungu kwa kumponya mtoto wake.
Kaka huyu akiwa mzima kabisa,hakika Mungu ndio mponyaji wetu yanayoshindikana kwa wanadamu kwa Mungu yanawezekana.

No comments:

Post a Comment