Sasha Kapinga aliletwa na mama yake Saida Kapinga katika huduma ya Life in Christ Ministries Zoe kwasababu ya tatizo la pumu, Sasha alikuwa akisumbuliwa na pumu kuanzia alipokuwa na umri wa miezi 7 na hadi sasa ana miaka 5 , walienda nchini Afrika ya Kusini zaidi ya mara saba lakini hali haikubadilika. Ndipo alipoamua kutafuta msaada wa Mungu, walifika katika huduma ya Life in Christ Ministries Zoe kwa maombi jinsi Mungu wetu alivyomwaminifu, Mungu alimgusa mtoto Sasha katika prayer line na kuwa mzima kabisa kutoka katika mateso ya kuumwa pumu.
Sasha akiwa na mama yake.
Saida Kapinga akielezea hali ya mtoto wake.
Akionyesha dawa anazotumia Sasha hii ni kabla ya maombi.
Dawa zinavyoonekana pichani.
Mama yake Sasha akionyesha jinsi ambavyo hutumia dawa hizo kwa mwanaye kila siku .
Mtumishi wa Mungu Prophet Joseph akifukuza roho ya pumu katika jina la Yesu Kristo ndani ya Sasha. Sifa na Utukufu ni kwa Bwana wetu Yesu Kristo.
No comments:
Post a Comment