Amos 3:7 Hakika Bwana Mungu hatafanya neno lolote,pasipo kuwafunulia watumishi manabii siri yake.
Kila jumapili, Mungu anazungumza na watu
kupitia Prophet Joseph.Mungu anaweka wazi siri za adui na mipango ya
Mungu kwenye maisha ya watu.vilevile,Mungu anazungumza juu ya kusudio la
Mungu katika maisha ya watu.Roho wa Mungu anamtumia Prophet Joseph
kuzungumza juu ya mipango yanchi na hata dunia nzima.
Mfano tumemsikia Mungu akitoa unabii juu ya MV spice,mafuriko ya Morogoro,ajali za ndege mbalimbali.
No comments:
Post a Comment