TEACHING,HEALING,PROPHECY & DELIVERANCE

.

Tuesday, 20 May 2014

YESU KRISTO WA NAZARETH ANAENDELEA KUUNGA MIFUPA ILIYOVUNJIKA HATA SASA...

Yesu Kristo mtenda miujiza anaendelea kuunga mifupa iliyovunjika haijalishi umevunjika namna gani kwake hakuna jambo gumu la kumshinda.Jumapili ya tarehe 18/05/2014 ndugu huyu alifika katika huduma ya Life in Christ Ministries Zoe akiwa amepata ajali ya gari aliyoipata siku ya Alhamisi ya tarehe 15/05/2014,na alikuwa akwekewa chuma wiki iliyofwatia.Lakini aliamini kuwa pindi atakapofika katika huduma ya L.C.M Zoe atapata uponyaji wake na ndivyo ilivyokuwa.




                      Prophet Joseph akimuombea kwa kutumia jina la Yesu Kristo wa Nazareth.
Prophet Joseph akiamuru maumivu kumwachia.

Nesi kutoka kitengo cha mifupa MOI,Mrs.Sophia Wellya akithibitisha kuwa ni kweli mfupa umeunga kwa kutumia jina la Yesu Krsisto.
                      Ndugu akifurahi baada ya maombezi,kwakuwa hakuwa na maumivu tena.

              Nesi akielezea kuwa mfupa wa ndugu huyu umeunga kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth.
                                         Ndugu akielezea kuwa hana maumivu tena.
Ndugu akifurahia baada ya Mungu kumponya.
            Mmoja kati ya mashemasi wa Life in Christ Ministries Zoe akimtoa ndugu huyu hogo.




Ndugu huyu akikanyaga chini bila ya kuwa na maumivu ya aina yoyote ile kutokana na kuombewa na Prophet Joseph kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth.

              Baada ya uponyaji ndugu wakimtukuza Mungu kwa kumponya ndugu yao.

              Familia wakimtukuza Mungu kwa kumponya ndugu yao.

No comments:

Post a Comment