Prophet Joseph akiamuru roho chafu ya ulevi kumuacha ndugu yetu.
Akiwa amechukuliwa na nguvu ya Mungu.
Akimshukuru Mungu kwa kuwa huru.
2. Ndugu yetu Elijah Kawala mkenya anayeishi nchini Marekani alifika katika huduma ya Life in Christ Ministries naye akitaka kuwekwa huru na Yesu Kristo mtenda miujiza, kutoka katika kifungo cha uvutaji sigara.
Prophet Joseph akiamuru kila roho inayosababisha kaka yetu avute sigara imuache huru kwa jina la Yesu Kristo.
Hapa ni baada ya kuwa huru hakuwa na hamu tena ya kuona wala kuvuta sigara tena.
Akiwa mwenye furaha na akimshukuru Mungu kwa kumtoa katika kifungo hicho cha uvutaji sigara.
YESU AKISEMA IMEKWISHA IBILISI HAWEZI KUZUIA .SIFA KWA YESU KRISTO WA NAZARETH.
No comments:
Post a Comment