Hawa ni baadhi tu ya maelfu waliofunguliwa kutoka katika vifungo vya kula mchele,makaratasi,barafu,mkaa,chaki,mifuko ya plastiki na vitu vingi vichafu lakini kwa upendo wa Mungu wetu waliwekwa huru na Yesu Kristo na hapa wakishuhudia toka wamefunguliwa hawana hamu ya kula tena vitu hivyo vichafu.
Baadhi tu ya waliofunguliwa kutoka katika kifungocha kula vitu vichafu. Sifa kwa Bwana wetu Yesu Kristo.
KWA HABARI ZAIDI TEMBELEA UKURASA WETU WA FACEBOOK LIFE IN CHRIST MINISTRIES ZOE. AHSANTENI.
No comments:
Post a Comment