Hakika Upendo ulizaliwa katika kipindi cha Christmass, kama ambavyo husema mtumishi wa Mungu Prophet Joseph ya kwamba Christmass bila upendo ni sawa na tairi la gari bila upepo. Hapa Life in Christ Ministries Zoe tulijumuika sote kama familia kusherehekea siku hii muhimu kwa chakula cha roho na mwili pia.
Prophet Joseph akiwatakia wanazoe heri ya Christmass.
Nyumba ya Mungu, Life in Christ Ministries Zoe ikiwa imepambwa.
Hivi ndivyo inavyoonekana wakati wa usiku.
Baadhi wa watenda kazi wakiwa katika picha ya pamoja.
Watenda kazi wakipata chakula cha jioni pamoja na zoe family.
Wanafamilia wa Zoe wakipata chakula cha jioni.
Prophet Joseph akiwa na wanazoe.
Wanazoe wakicheza kwa furaha.
Watoto wa Zoe wakiburudika kwa chakula na vinywaji.
Watenda kazi katika picha ya pamoja .
Father Christmass naye alikuwepo kuburudisha wanazoe.
Vijana wa Zoe wakicheza kwa furaha na amani tele.
Christina Kazinja na mwinjilisti Joseph wakimwimbia Mungu kwa furaha.
No comments:
Post a Comment