TEACHING,HEALING,PROPHECY & DELIVERANCE

.

Sunday, 8 March 2015

MAUMIVU YA NYONGA YAMWACHA NA KUWA MZIMA KABISA

Mwinjilisti G. M Mlaki kutoka Kongowe jijini Dar es salaam alifika akiwa na maumivu ya nyonga upande mmoja wa wili wake, hakuweza kuhubiri sawasawa akiwa katika huduma yake alikuwa akihubiri huku amekaa kwenye kiti kutokana na maumivu ya nyonga. Kwa neema na rehema za Mungu alipata neema ya kufika katika huduma ya LCM Zoe na kupokea uponyaji wake. Utukufu kwa Mungu.

                                      Prophet Joseph akimwombea mwinjilisti Mlaki.
Mwinjilisti G.M Mlaki akishuhudia mara baada y akupokea uponyaji kutoka kwa Yesu Kristo wa Nazareth.


No comments:

Post a Comment