TEACHING,HEALING,PROPHECY & DELIVERANCE

.

Monday, 9 March 2015

HAKUNA JAMBO GUMU LA KUMSHINDA MUNGU

Twaa Athuman alikuja huku akiwa anatembelea magongo kutokana na ajali ya ambayo ilisababisha mfupa wa mguu wake kuvunjika mara tatu, alipata neema ya kupokea uponyaji kutoka kwa Yesu Kristo wa Nazareth, pia mtumishi wa Mungu alimtolea neno la kinabii kuwa anaona ndugu Twaa akivuta sigara kutokana na kuvuta sigara kunasababisha mguu wake kutokuunga mapema kutoka na sumu ndugu Twaa alikiri ni kweli hutumia sigara. Alipokea uponyaji wake na kuwa mzima kabisa. Utukufu na Sifa kwa Yesu Kristo wa Nazareth.

                                  Ndugu Twaa akiingia katika nyumba ya Mungu.

                                Akiwa amekaa katika nyumba ya Mungu LCM Zoe.
                         Akimshuhudia Mungu mara baada ya kupokea uponyaji wake.

          Akitembea bila ya msaada wa magongo. Hakika hakuna jambo gumu la kumshinda Mungu.



No comments:

Post a Comment