TEACHING,HEALING,PROPHECY & DELIVERANCE

.

Sunday, 5 October 2014

PRAYERLINE YA WATU WAZIMA

Matendo 28:8 inasema;  Ikawa babake Publio alikuwa hawezi homa na kuhara damu. Paulo akaingia kwake, akaomba,akaweka mikono juu yake, na kumponya. Hata sasa tunashuhudia Mungu akimtumia Mtumishi wake Prophet Joseph kuweka mikono juu ya watu nao kupokea uzima kutoka kwa Yesu Kristo mwenyewe.

Tunaona maelfu ya watu waliofika katika mstari huu wa uponyaji wakipokea uzima na kufunguliwa katika kila mateso ya ibilisi.


                  Prophet Joseph akimuombea mama huyu ambaye alikuwa akitembelea fimbo.
                        Mama huyu akifurahia baada ya kupokea uzima kutoka kwa Yesu Kristo.

Roho chafu ikifukuzwa ndani ya mama huyu kwa jina lipitalo majina yote,Jina la Yesu Kristo.

No comments:

Post a Comment