TAZAMA ILIVYO VYEMA NA KUPENDEZA NDUGU WAKAE PAMOJA KWA UMOJA....
Katika ibada ya jumapili 2/11/2014 tuliweza kupata neema ya kutembelewa na viongozi wa siasa wawili nao ni Dkt Milton Makongoro Mahanga, naibu Waziri wa Kazi,Ajira na maendeleo ya Vijana na pia ni mbunge wa jimbo la Tabata jijini Dar es salaam, Pamoja na Mh. Ritha Mlaki mbunge viti maalum. Walifika katika huduma ya LCM kuabudu pamoja nasi lakini pia kupata uponyaji wao kutoka kwa Yesu Kristo wa Nazareth.
No comments:
Post a Comment