TEACHING,HEALING,PROPHECY & DELIVERANCE

.

Saturday, 20 December 2014

MKONO ULIOVUNJIKA WAUNGA KWA JINA LA YESU

Mugibu Salehe alikuja katika huduma hii ya Life in Christ Ministries Zoe akiwa na maumivu kutokana na mfupa katika mkono wake wa kushoto kuvunjika na ulisababisha ashindwe hata kunyosha mkono wake. Lakini wakati wa maombi ya kufunguliwa kwa pamoja (Mass deliverance) mtumishi wa Mungu, Prophet Joseph aliamuru kila mfupa uliovunjika uunge kwa Jina la Yesu Kristo ndipo kaka yetu akapokea uponyaji hapo hapo na kuwa mzima kabisa.

                                               Hivi ndivyo mkono huo ulivyokuwa.


              Akitoka mbele kwenda kushuhudia yale ambayo Bwana Yesu amemtendea.

            Yesu Kristo bado anaunga mifupa ukiamini tu utapokea muujiza wako. Haleluya!









No comments:

Post a Comment