Evelyn Mngilima kutoka kipunguni B, jijini Dar es salaam alikuja jumapili ya tarehe 7/12/2014 akiwa katika kifungo cha ulevi wa pombe aina ya Konyagi kwa muda mrefu lakini kwa neema ya Mungu alifunguliwa na Yesu Kristo wa Nazareth kwa kumtumia mtumishi wake Prophet Joseph.Tokea siku aliyofunguliwa mpaka sasa hana hamu ya kunywa pombe tena na yuko huru.
Akishuhudia kuwa yuko huru kutoka katika kifungo cha pombe.
Yohana 8:36- Inasema ,Hivyo Mwana (Yesu Kristo) akiwaweka huru mnakuwa huru kweli kweli. Ndivyo ambavyo tunashuhudia kutoka kwa ndugu yetu Esther Yesu Kristo amemweka huru naye yuko huru kweli kweli. Utukufu kwa Yesu Kristo wa Nazareth.
No comments:
Post a Comment