TEACHING,HEALING,PROPHECY & DELIVERANCE

.

Tuesday, 24 February 2015

NGUVU YA YESU YAUNGA MIFUPA HATA SASA

Daudi Mwamini alifika kwenye nyumba ya Mungu LCM Zoe akiwa anatembelea magongo kutokana na ajali aliyopata, alipokwenda hospitalini aliwekewa chuma ili kusaidia kuunga mfupa. Mtumishi wa Mungu prophet Joseph alipoongoza maelfu kuomba msamaha kwa baba yetu wa Mbinguni kwa kila jambo ndipo kaka yetu alipata nguvu katika mguu wake na mfupa uliunga palepale kwa neno la msamaha tu. 

                   Ndugu Daudi Mwamini akiingia kwenye nyumba ya Mungu LCM ZOE.
                                    Akitokwa na machozi kutokana na maumivu ya mguu.
                                              Mguu unavyoonekana ukiwa na antenna.

             Mara tu baada ya mguu kupata nguvu akisimama bila ya msaada wa magongo.

                     Akifurahia mara baada ya kuweza kutembea pasipo msaada wa magongo.

                               Mtumishi wa Mungu, prophet Joseph akiwa na ndugu Daudi.
                    Akimshukuru Mungu kwa kumuunga mfupa wake na kumrejesha kwa upya.

No comments:

Post a Comment