Hakika Mungu anaweza kutenda zaidi ya tunavyoomba kaka Innocent Chonya alifika katika mstari wa uponyaji na kuonyesha shauku kutokana na kwamba alikuwa maechukua mkopo katika mojawapo ya benki hapa nchini Tanzania lakini riba yake ilikuwa ni 19% na alikuwa maeandika barua kwenye benki hiyo akiwaomba kuteremsha hadi kwa asilimia 17 alipofika kwa mtumishi wa Mungu prophet Joseph akamwombea na majibu aliyoyapata kutoka kwenye benki hiyo ni ya kushangaza sana maana walipunguza zaidi ya alivyoomba walipunguza hadi kwa asilimia 16, Mungu wetu anashangaza sana. Alipofika kutoa ushuhuda prophet Joseph alimpa neno la kinabii kuwa sio kwamba wamepunguza bali watalifuta deni lenyewe kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth.
Hii ikiwa ni barua aliyokuwa amekuja nayo kwenye mstari wa uponyaji jumapili ya tarehe 15/3/2015
Mtumishi wa Mungu, Prophet Joseph akimwombea kwa jina la Yesu Kristo.
Jumapili ya tarehe 22/3/2015 alipofika kushuhudia.
Akimshukuru Mungu kwa kumtendea.

Nguvu ya Mungu ikiwa imemchukua.
UTUKUFU KWA MUNGU MWENYE NGUVU NA UWEZO.
UTUKUFU KWA MUNGU MWENYE NGUVU NA UWEZO.
No comments:
Post a Comment