Hakika Upendo ulizaliwa katika kipindi cha Christmass, kama ambavyo husema mtumishi wa Mungu Prophet Joseph ya kwamba Christmass bila upendo ni sawa na tairi la gari bila upepo. Hapa Life in Christ Ministries Zoe tulijumuika sote kama familia kusherehekea siku hii muhimu kwa chakula cha roho na mwili pia.
Prophet Joseph akiwatakia wanazoe heri ya Christmass.
Nyumba ya Mungu, Life in Christ Ministries Zoe ikiwa imepambwa.
Hivi ndivyo inavyoonekana wakati wa usiku.
Baadhi wa watenda kazi wakiwa katika picha ya pamoja.
Watenda kazi wakipata chakula cha jioni pamoja na zoe family.
Wanafamilia wa Zoe wakipata chakula cha jioni.
Prophet Joseph akiwa na wanazoe.
Wanazoe wakicheza kwa furaha.
Watoto wa Zoe wakiburudika kwa chakula na vinywaji.
Watenda kazi katika picha ya pamoja .
Father Christmass naye alikuwepo kuburudisha wanazoe.
Vijana wa Zoe wakicheza kwa furaha na amani tele.
Christina Kazinja na mwinjilisti Joseph wakimwimbia Mungu kwa furaha.
Tuesday, 30 December 2014
Sunday, 28 December 2014
AJIFUNGUA KWENYE WARD KWA NEEMA YA MUNGU
Donny George amefika kwenye nyumba ya Mungu Life in Christ Ministries Zoe,kumshukuru Mungu kwa matendo makuu aliyomtendea katika maisha yake, mke wake alikuwa mjazito kwa wiki 12 lakini hakuwa na uchungu muda wa kujifungua ulipofika. Walipofika hospitalini madaktari walimshauri kwamba lazima mke wake afanyiwe oparesheni ili aweze kujifungua. Kwa neema ya Mungu ndugu Donny akatumia mafuta ya upako (Annointing Oil) aliyopewa na prophet Joseph, baada ya muda mtumishi wa Mungu Prophet Joseph akamwelekeza mkewe Donny aweke mkono kwenye tumbo lake baada ya maelekezo kutoka kwa prophet Joseph akiongozwa na Roho Mtakatifu mkewe Donny akapata neema ya kujifungua kwa salama bila ya kufanyiwa oparesheni ya aina yoyote jambo ambalo limewashangaza sana madaktari na kuacha historia katika hospitali ya Aga Khan kwasababu haijawahi kutokea mtu kujifungulia kwenye ward na sio chumba maalum cha kujifungulia, alijifungua bila ya maumivu yoyote hakika Mungu ni mwema sana katika maisha yetu.
Ndugu Donny akishuhudia na kumshukuru Mungu.
Saturday, 27 December 2014
YATUPASA KUSHUHUDIA NA KUSHUKURU KWA KILA JAMBO AMBALO YESU KRISTO ANATUTENDEA...
Ndugu yetu alifika katika huduma ya Life in Christ Ministries Zoe kuja kushuhudia na kumshukuru Mungu kwa yale ambayo Bwana wetu Yesu Kristo amewatendea katika maisha yao. Zaburi 9:1-2 inasema; Nitamshukuru Mungu kwa moyo wangu wote; Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu,nitafurahi na kukushangilia wewe,nitaliimba jina lako wewe uliye juu,ni vyema kumshukuru Mungu kwa kila jambo hata kama kwa macho ya nyama linaonekana ni dogo yatupasa kushukuru.
Raji Jetha kutoka kunduchi alifika hapa Life in Christ Ministries Zoe, Nov.24/2014 akiwa amevunijka bega na alikuwa anatumia arm rest hata madaktari walimshauri kumwekea chuma maana haikuwa rahisi bega hilo kuunga lakini kwa neema ya Mungu shemeji yake aliweza kumleta katika huduma ya Life in Christ Ministries Zoe, wakati wa kipindi cha mass deliverance alipokea uponyaji. Alikwenda hospitali na kupiga X-ray na madaktari wakathibitisha hakika mkono umeunga kabisa. Na akaamua kurudi ili kushuhudia na kumshukuru Mungu kwa matendo makuu aliyomtendea, hata madaktari waliachwa na maswali mengi kwa jinsi ndugu Raji bega lilivyounga bila yakufanyiwa oparesheni yoyote. Hakika Yesu Kristo ni mponyaji mkuu.
Ndugu Raji Jetha katika picha.
Akishuhudia jinsi alivyopokea uponyaji wa bega lake.
Akimshukuru Mungu kwa kumponya.
Akienda kuketi, hakika amepokea uzima kutoka kwa Yesu Kristo wa Nazareth...Hakuna jmbo gumu la kumshinda Mungu.

YESU KRISTO BADO ANAENDELEA KUUNGA MIFUPA
Hakika Mungu wetu ni mwaminifu tunazidi kuuona Ukuu wake kila iitwapo leo, maelfu wameendelea kufunguliwa na kuwekwa huru kutoka katika vifungo vya aina mbalimbali na Yesu Kristo mtenda miujiza.
Maria Ramadhani kutoka Yombo jijini Dar es salaam alikuja akiwa amevunjika mkono na hakuweza kuutumia mkono wake kufanya kazi yoyote lakini jinsi Mungu alivyomwaminifu wakati wa kipindi cha kufunguliwa kwa pamoja (Mass deliverance) dada Maria alipokea uponyaji wake kutoka kwa Yesu Kristo mponyaji.
Akishuhudia jinsi alivyopokea uponyaji.
Akinyoosha mkono wake baada ya kupokea uponyaji kutoka kwa Yesu Kristo wa Nazareth.
Mkono ukiwa mzima kabisa kwa jina la Yesu Kristo.
Aliweza kuukunja bila ya kusikia maumivu.
Akiugusa kuonyesha kuwa hakika roho chafu ya maumivu imemwacha.
Akimshukuru Mungu kwa kumponya.
2. Aidano Mtui alipata ugonjwa wa kupooza (stroke) iliyopelekea ashindwe kutembea bila ya msaada wa fimbo, alifika katika huduma ya Life in Christ Ministries Zoe akiwa anatembelea fimbo lakini wakati wa kipindi cha mass deliverance alifunguliwa naalitembea bila ya msaada wa fimbo hakika Yesu Kristo anaweza kuponya hata sasa.
Aidano Mtui akiwa katika nyumba ya Baba yetu wa Mbinguni. L.C.M Zoe.
Akimtukuza Mungu kwa kumponya.
Akitembea bila ya kutumia fimbo.
Prophet of God, Prophet Joseph akiwa na ndugu Aidano Mtui.
SIFA NA UTUKUFU NI KWA MUNGU WETU ALIYE JUU.

Saturday, 20 December 2014
SHUHUDA YA KUFUNGULIWA KUTOKA KATIKA KIFUNGO CHA ULEVI
Evelyn Mngilima kutoka kipunguni B, jijini Dar es salaam alikuja jumapili ya tarehe 7/12/2014 akiwa katika kifungo cha ulevi wa pombe aina ya Konyagi kwa muda mrefu lakini kwa neema ya Mungu alifunguliwa na Yesu Kristo wa Nazareth kwa kumtumia mtumishi wake Prophet Joseph.Tokea siku aliyofunguliwa mpaka sasa hana hamu ya kunywa pombe tena na yuko huru.
Akishuhudia kuwa yuko huru kutoka katika kifungo cha pombe.
Yohana 8:36- Inasema ,Hivyo Mwana (Yesu Kristo) akiwaweka huru mnakuwa huru kweli kweli. Ndivyo ambavyo tunashuhudia kutoka kwa ndugu yetu Esther Yesu Kristo amemweka huru naye yuko huru kweli kweli. Utukufu kwa Yesu Kristo wa Nazareth.

YESU KRISTO WA NAZARETH ANAENDELEA KUUNGA MIFUPA HATA SASA...
1.Ndugu Mathayo John kutoka Ruvuma alipata ajali ya kugongwa na pikipiki akiwa Songea, na kusababisha kifundo cha mguu kuvunjika vipande alipelekwa hospitali na kuwekewa chuma ili kusaidia mfupa kuunga. Na alipangiwa operesheni nyingine lakini jinsi Mungu alivyo Mkuu na upendo mwingi wakati wa kipindi cha Mass deliverance mtumishi wa Mungu Prophet Joseph aliamuru mifupa iliyovunjika kuunga ndugu yetu alipokea uponyaji wake kutoka kwa Yesu Kristo wa Nazareth na maumivu yote yakamwacha na akawea kutembea bila ya msaada wa magongo.
Ndugu Mathayo akiwa na fimbo aliyokuwa akitembelea.
Prophet Joseph akiamuru mfupa kuunga na roho ya maumivu kumwacha kwa jina la Yesu Kristo.
Fimbo ikiwa chini mara baada ya kupokea uponyaji kutoka kwa Yesu Kristo.
Akitembea bila ya msaada wa fimbo.
Akimshukuru Mungu Baba kwa kumponya.
Akishuhudia matendo makuu ya Mungu aliyomtendea, na kuweza kutembea bila ya msaada wa gongo hakika ana kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kumponya, maana gongo si sehemu yake kwa Jina la Yesu Kristo.
2. Rose Didas kutoka Kimara alipata ajali ya basi iliyopelekea mguu wake kuvunjika vibaya,alifanyiwa operesheni na kuwekewa chuma katika mguu wake ili uweze kupona. Alikuwa amelala kwa muda wa miezi miwili huku akisaidiwa kufanya kila kitu. Kwa Neema ya Mungu alipata habari njema kuhusu huduma hii ya Life in Christ Ministries Zoe, hakika Mungu hakumwacha wala hakumsahau katika ibada ya jumapili ya tarehe 14/12/2014 katika kipindi cha mass deliverance, maombi yaliyoongozwa na Prophet Joseph akiongozwa na Roho Mtakatifu aliweza kupokea uponyaji wake kutoka kwa Yesu Kristo wa Nazareth.
Dada Rose Didas akiwa katika nyumba ya Baba yetu wa Mbinguni.
Mguu unavyoonekana katika picha.
Akitembea bila ya msaada wa gongo wala bendeji.
Matendo makuu ya Mungu yanaendelea kuonekana hata sasa dada Rose Didas akishuhudia matendo makuu akiwa hana maumivu ya aina yoyote. Sifa na Utukufu kwa Bwana.

MKONO ULIOVUNJIKA WAUNGA KWA JINA LA YESU
Mugibu Salehe alikuja katika huduma hii ya Life in Christ Ministries Zoe akiwa na maumivu kutokana na mfupa katika mkono wake wa kushoto kuvunjika na ulisababisha ashindwe hata kunyosha mkono wake. Lakini wakati wa maombi ya kufunguliwa kwa pamoja (Mass deliverance) mtumishi wa Mungu, Prophet Joseph aliamuru kila mfupa uliovunjika uunge kwa Jina la Yesu Kristo ndipo kaka yetu akapokea uponyaji hapo hapo na kuwa mzima kabisa.
Hivi ndivyo mkono huo ulivyokuwa.
Akitoka mbele kwenda kushuhudia yale ambayo Bwana Yesu amemtendea.
Yesu Kristo bado anaunga mifupa ukiamini tu utapokea muujiza wako. Haleluya!
Hivi ndivyo mkono huo ulivyokuwa.
Akitoka mbele kwenda kushuhudia yale ambayo Bwana Yesu amemtendea.
Yesu Kristo bado anaunga mifupa ukiamini tu utapokea muujiza wako. Haleluya!
Saturday, 13 December 2014
KUFUNGULIWA KUTOKA KATIKA KIFUNGO CHA ULEVI
Dada Evelyn Mkingilima alikuja katika huduma ya Life in Christ Ministries Zoe kutaka msaada kutoka kwa Bwana wetu Yesu Kristo wa kumtoa katika kifungo cha ulevi wa kupindukia, amekuwa katika kifungo cha ulevi wa kunywa mizinga ya konyagi kwa muda mrefu amekuwa akinywa hata mizinga 10 ya konyagi kwa siku, alijaribu kuacha kwa nguvu zake mwenyewe lakini haikuwezekana ndipo aliamua kumtafuta mwenye nguvu kuliko wote ambaye ni Yesu Kristo Mkombozi wetu ambaye kwake yeye hakuna kinachoshindikana. Kwa kumtumia mtumishi wake Prophet Joseph, dada Evelyn aliwekwa huru na Yesu Kristo mtenda miujiza.
Akiwa ameshikilia pombe aina ya konyagi.
Akinywa kuonyesha ni kweli alikuwa anatumia pombe hiyo.
Roho chafu ya pombe ikifukuzwa na prophet Joseph kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth.
Nguvu ya Mungu ikiwa imemchukua.
Baada ya kuwekwa huru hakuweza kuinywa pombe hiyo.
Akiwa ametema pombe hiyo, maana baada ya kuwekwa huru alisema ile hamu ya kunywa pombe hiyo ya konyagi imemwacha kabisa. Utukufu kwa Bwana.